NI PROGRAMU MAHUSUSI KWA AJILI YA KUKUZA MICHEZO KWA WATOTO MASHULENI .

Jumamosi, 23 Aprili 2016

 mtoto-mtanzania-wa-miaka-16-alivyoongea
MTOTO MTANZANIA WA MIAKA 16 ALIVYOONGEA KATIKA MKUTANO WA UN. NA KUISHANGAZA DUNIA
Getrude alianza kwa kuwasalimia waalikwa huku ikiripotiwa Maraisi 60 walihudhuria na kisha akaeleza kuwawakilisha vijana na watoto ambapo alizungumzia mabadiliko ya tabia nchi, hatari yake na kwamba wamekua wakifikisha ujumbe kwa Wananchi juu ya mabadiliko hayo kama anavyoonekana kwenye hii video hapa chini.

0 maoni:

Chapisha Maoni