![]()  | 
| KUTOKA KUSHOTO; AMIN MKOSSA, CHARLES PAUL (coach) MAHFUDH SIMBA NA MASTER ALEX. | 
PAMOJA NA VITU VINGI VINAVYOCHANGIA VIJANA WA DON BOSCO KUFANYA VIZURI KATIKA MPIRA WA KIKAPU;  UCHUNGUZI WA BSN UMEGUNDUA KWAMBA SIFA KUU WALIYONAYO  NI KWAMBA VIJANA HAWA PIA NI MARAFIKI WAKUBWA NJE NA NDANI YA UWANJA.
TUNAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAISHA YAO.

0 maoni:
Chapisha Maoni