NI PROGRAMU MAHUSUSI KWA AJILI YA KUKUZA MICHEZO KWA WATOTO MASHULENI .

Jumapili, 24 Aprili 2016

KWA WAZAZI/WALEZI: HIZI NDIZO FAIDA KUU SITA ZA KUMRUHUSU MTOTO WAKO ASHIRIKI MICHEZO YA TIMU (TEAM SPORTS) - Must Read


  1. KUJIAMINI NA KUJITHAMINI ( Self Confidence and Self esteem)
  2. KUBORESHA MAWASILIANO ( Communication Skills)
  3. KUFAULU MASOMO ( Academic Excellency)
  4. HUKUZA UWEZO WA KUFIKIRI ( Critical Thinking)
  5. KUJENGA AFYA ( Makes your child healthier)
  6. KUJENGA NIDHAMU ( Discipline).                                                                                   Mruhusu mwanao ashiriki katika michezo ya timu (team sports) na michezo mingine yoyote kwani kwa kufanya hivyo unampatia mtoto wako fursa ya kukua kikamilifu na hivyo kujenga taifa lenye afya ya mwili na akili. BSN tunaktoa fursa kwa watoto wote na vijana kufurahia vipaji vyao hapa kituoni DON BOSCO UPANGA, MASHULENI MWAO na POPOTE PALE WALIPO. Wasiliana nasi kwa huduma hizo muhimu.
Pichani ni baadhi ya matukio ya michezo tunayoyaendesha....










0 maoni:

Chapisha Maoni